HapaKuleNews
Hapa Kule news ni show moja ya njaro sana, aim yake ikiwa kuchambua uhondo deadly deadly zimehappen kwa news na kuziput across na design moja funny. Ndio maana hatuna aibu tukidai hapa kule news ndio mahali uhondo na story nyeti, ndio biashara yetu.Be sure ucheck upload kila wiki friday hapa hapa...
80800 subscribers

Videos