lishe bora kwa wote
Lishe bora kwa wote ni channel inayojihusisha na utoaji elimu ya lishe kwa watu wore, utaratibu wa kufuata katika kumuanzishia mtoto chakula mara baada ya miezi sita ya kunyonya pamoja na mapishi mbalimbali ya chakula kulingana na umri wa mtoto. Kanuni mbalimbali katika kuhakikisha chakula kinacholiwa kinazingatia usalama wa mradi na kuifikia jamii yenye uhitaji.
499 subscribers

Videos