Mr. Jusam Elim
Mr.JusamTv ni Chennel maalum kwa ajiri ya kupata Elimu na kujifunza mengi kuhusu afya kwa vyakula na matunda,Urembo kwa vitu Asili, na Kujifunza Au kupata Elimu ya Mahusiano Kupitia video au Makala mbali mbali ambazo zinatumwa katika Channel Hii.Pia kutakuwa na Dawati la michezo na burudani,Habari na makala zenye Kuelimisha Jamii Hivyo kuwa wa kwanza kuifatilia Channel hii upate Elim Kemkem.
258000 subscribers

Videos