BILL MEDIA
Karibu kwenye channel yetu ya Bill Media sehemu ambayo unapata habari mbalimbali zinazotrend kisiasa, sanaa, michezo na burudani pamoja na watu mashuhuri wote ndani na nje ya Tanzania (Duniani). Utapata kuelimika kuburudika na kujua vitu mbalimbali kwa undani zaidi. Sehemu pekee inayokupa kushiriki kwa mawazo yako na yanafanyiwa kazi pia. Mimi na wewe ni familia moja na tunatambua mchango wako. Sio tuu tunatoa habari tunaichambua pia na kutazama kwa mtazamo mpana zaidi huo ndio utofauti wetu. Karibu na Ahsante
42800 subscribers

Videos