Kijana Endelevu
Kijana endelevu channel ni channel ambayo imeanzishwa kwa lengo la kutoa magunzo yote ya ujasiliamali katika nyanja mbalimbali lengo kubwa kuhakikisha watu wote wanajifunza vitu muhimu katika maisha ikiwemo 1. Ufugaji 2.kilimo 3.elimu Za kujitambua 4.maisha na mafanikio 5. Ujasiliamali wa bidhaa mbalimbali Jitahidi kuwa unatazama mafunzo yetu kila siku uweze kuelimika zaidi Tunapatika pia Facebook's: Kijana endelevu group Email: kijanaendelevu@Gmail.com Alika watu zaidi subscribe na changia maoni yako pia Karibuni sana
445 subscribers

Videos