Jinsi ya Kuimarisha Uume Kwa Nitric Oxide | Ni rahisi - Dr Nature



0
2710

Nitric oxide ni kemikali inayozalishwa na seli za mishopa ya damu kwa ajili ya kutanua mishipa ya damu. Kama ikizalishwa kwa wingi mihsipa ya damu itatanuka zaidi na kuruhusu damu kufika hata kwenye seli za uume. Uume ukipata damu ya kutosha, virutubisho, homoni na oksijeni itafika kwenye seli na uume utasimama vizuri. Epuka vitu vinavyozuia nitric oxide kuzalishwa (nimeeleza kwenye video). Pia kula mbogamboga mbichi na matunda yanasaidia kuongeza uzalishwaji wa nitric oxide. ************** TUWE PAMOJA YOUTUBE: https://youtube.com/DrNatureclinic FACEBOOK: https://web.facebook.com/yusufumf/ INSTAGRAM: https://instagram.com/dr_nature1 TWITTER: https://twitter.com/drnature6 MUNGU AKUBARIKI

Published by: Dr Nature Published at: 4 years ago Category: آموزشی