TAASISI YA APEC YAWANOA VIJANA 61 KIBAHA



0
198

TAASISI YA APEC YAWANOA VIJANA 61 KIBAHA Na Omary Mngindo, Kibaha Pwani- Agosti 14 TAASISI ya APEC inayojihusisha na utoaji elimu ya ujasiriamali hapa nchini, imewapatia mafunzo ya udereva na ujasiriamali vijana 61 waishio wilayani mkoa wa Pwani. Mkurugenzi wa taasisi hiyo Respicius Timanya ameyasema hayo katika hafla fupi ya kufunga mafunzo ya udereva, wilayani hapa ambapo amesema taasisi yao imepewa jukumu la utoaji elimu hiyo, na wanaendelea vizuri. MSIKILIZE MKURUGENZI HUYO...

Published by: BILL MEDIA Published at: 5 years ago Category: مردم و وبلاگ