Wimbo mzuri wa kuabudu - HAUSHINDWI by JOEL KAEMA



1
3086

Kutoka jijini Mwanza kwa mara ya kwanza tunamtambulisha kwako mwimbaji Joel Kaema na huu ni wimbo wake mzuri wa kuabudu unaoitwa Haushindwi. “Mungu wetu Hajawahi kushindwa na jambo lolote wala kusita kwa lolote. Yeye hulitazama neno lake ili alitimize, Wimbo huu umeleta shuhuda katika maisha ya watu wengi. Naamini Mungu atabadilisha maisha yako kupitia ujumbe wa wimbo huu.” – Joel alisema Tazama video ya wimbo huu hapa: https://youtu.be/plbyPoKNFwM Kwa mawasiliano zaidi na Joel Kaema wasiliana naye kupitia: Simu/WhatsApp: +255 752 753 480 Facebook: Joel Kaema Instagram: @joelkaema01 Youtube: Joel kaema SUBSCRIBE channel ya Gospo Media ili uwe wa kwanza kupokea Updates ya nyimbo kali za muziki wa Injili, Habari njema za Ki-Injili, Exclusive Interview, Ibada Live, Mikutano, Makongamano na matamasha ya ki-injili, Maarifa ya jamiii, Mahubiri na mafundisho ya Kiroho. Pia unaweza kupata updates kupitia: * Blog: https://www.gospomedia.com * Gospo Media App - http://bit.ly/2GaLfb2 * Facebook: http://bit.ly/2yUN1aL * Instagram: http://bit.ly/33uYSdN

Published by: Gospo Media Published at: 2 years ago Category: مردم و وبلاگ