YAJUE MAAJABU YA MCHICHA MWILINI



0
2117

Video hii nimeitengeneza maalum kabisa kwa ambao wamekuwa wakiuliza kuhusu faida za mchicha mwilini. Mchichi unazo faida nyingi sana ambazo wengi wetu pengine hatuzifahamu, lakini pamoja na faida hizo kuna wengine huwa wanakosea namna ya kuupika na kujikuta wanapoteza virutubisho vyote kwenye mchicha. Iwapo una swali lolote niandikie hapo kwenye comments nitakujibu kwa wakati. #Mchicha

Published by: Afya Yako Published at: 4 years ago Category: آموزشی