TAHADHALI, USIOE MWANAMKE MWENYE SIFA HIZI



20
28451

Mwanamke mwenye sifa hizi ni hatari, funga nae ndoa na baada ya muda utakuja hapa na kucomment yatakayokupata. Kuna ambao wanasema sio wote ila nakuhakikishia asilimia kubwa wenye sifa hizi ni mtihani mkubwa kuingia nao kwenye ndoa. Hata maandiko matakatifu yameelezea ni wanawake wa aina gani uingine nao kwenye ndoa, nakuhakikishia sio kila mwanamke ni sahihi uingie nae kwenye ndoa wengine linaweza kuwa chanzo cha anguko lako. Kuna wanaume wengi wamefeli maisha kwa sababu tu ya aina ya mwanamke waliyemuoa, hivyo video hii ikusaidie kutanmbua ni mwanamke gani unapaswa kumuogopa. Iwapo una swali au unahitaji ushauri tuwasiliane 0686527039 Watsapp tu au unaweza kucomment hapo chini nitakujibu kwa wakati. #MwanamkeHutakiwiKuoa

Published by: Afya Yako Published at: 4 years ago Category: آموزشی