Maana ya Rangi ya Matunda | Usile Matunda na Chakula | Matunda Yasiyo na Mbegu?



0
4852

MATUNDA YENYE MBEGU Usile matunda na chakula, kula matunda kama chakula. Matunda yenye mbegu ni muhimu. Faida 1. Kemikali mimea kama carotenoids, flavonoids inasaidia mwili usivamiwe katika maeneo ya majimaji unaweza kuipata kwenye sehemu nyeupe ya chungwa. Matikiti maji kile cheupe kina kemikali mmea muhimu sana. 2. Madini kama manganese, sodium, calcium, 3. Rangi za matunda na maana yake nyekundu- tezi dume • Kula tunda la msimu • Usichanganye matunda yanayotofautiana muda wa kumeng’enywa mfano isingefaa kuchanganya parachichi na tikitimaji kwenye mlo mmoja. ************** TUWE PAMOJA YOUTUBE: https://youtube.com/DrNatureclinic FACEBOOK: https://web.facebook.com/yusufumf/ INSTAGRAM: https://instagram.com/dr_nature1 TWITTER: https://twitter.com/drnature6 MUNGU AKUBARIKI

Published by: Dr Nature Published at: 4 years ago Category: آموزشی