Tiba ya fangasi, Vitu 3 muhimu ili upone

۳۶.۲ K


۰

Imekuwa ni tatizo kubwa kwa watu wengi kwa sasa wanahangaika na magonjwa ya fangasi. Wanatumia dawa lakini baada ya siku kadhaa ugonjwa unarudi. Katika video hii nimeeleza vitu vitatu vinavyofanya wasipone. ******************************** HUDUMA YA USHAURI NatureCare tunatoa huduma ya ushauri wa afya wa kitaalamu. Ili kupata huduma hiyo tuma SMS/email kupitia mawasiliano hapa chini. Gharama ya ushauri ni Tshs. 10,000/- tu. Utaelekezwa namna ya kulipia baada ya kutuma ujumbe. NatureCare | Empower Health Naturally ***************************** MAWASILIANO: Simu: +255 672 065 487 (tuma SMS TU!) Barua pepe: support@naturecare.co.tz Tovuti: http://www.naturecare.co.tz MITANDAO YA KIJAMII: YouTube channel: Facebook: http://www.facebook.com/real.dr.nature Instagram: http://www.instagram.com/nature_care_east_africa ************** ANGALIZO: Maelekezo yanayotolewa hapa sio mbadala wa maelekezo ya kitabibu ya daktari wako. Fuata malekezo uliyopewa na daktari wako.

Published by: Dr Nature
Published at: ۲ years ago
Category: آموزشی