Shamba la Bangi



13
21280

Bila shaka kila mmoja wetu anaelewa fika kwamba kazi ya ukulima inafaida tele na kuwa ni mmojawapo ya nguzo muhimu katika taifa. Lakini katika kijiji cha Gathara kaunti ya Nyandarua mwalimu mmoja aliyestaafu kilimo chake kimemtia mashakani baada ya maafisa wa usalama kumtia nguvuni kwa madai ya kupanda bhangi katika shamba lake. Mwanahabari wetu Gatete Njoroge ametuandalia taarifa hiyo kwa kina.

Published by: Kenya CitizenTV Published at: 10 years ago Category: اخبار و سیاست