Fuata Maelekezo Haya KUKOMESHA FANGASI!

۳۴.۷ K


۰

Kumekuwa na changamoto kubwa ya fangasi sugu. Huenda hii imesbabishwa na watu kutokuwa na taarifa kuhusu maelekezo kamili jinsi ya kupambana na fangasi. Hata wanaoenda kutibiwa hospitali bado wameekuwa wakijikuta maambukizi ya fangasi yanarudi mara kwa mara na hata kufanya hali kuwa sugu. Fagasi hushambulia sehemu mbalimbali, lakini fangasi wa sehemu za siri lazima tulitilie mkazo kwa sababu unaweza kujikuta unakosa mtoto kwa sababu ya fangasi. Katika video hii, nimeeleza kwa ufupi namna ambavyo fangasi kwako unaweza ukawafanya kuwa historia.h ******************************************* HUDUMA NYINGINE: Dr Nature anatoa USHAURI na TIBA YA ASILI, wasiliana naye ili kupata huduma hizo pale unapohitaji. MAWASILIANO: Simu: +255 767 759 137 au +255 672 065 487 Email: real.dr.nature@gmail.com P.O Box 2240 Moshi, Tanzania Facebook: http://facebook.com/real.dr.nature

Published by: Dr Nature
Published at: ۲ years ago
Category: