LIGI YA KIBAFA.. USALAMA 1, TP PWANI 1



0
51

LIGI YA KIBAFA.. USALAMA 1, TP PWANI 1 Na Omary Mngindo, Kibaha Pwani- Agosti 13 TIMU za soka za Usalama Fc na TP Pwani za mjini Kibaha Jumatatu ya Agoati 13 zimetoka sare ya kufungana bao 1-1 katika mwendelezo wa Ligi Daraja la Nne hatua ya sita bora inayoelekea ukingoni. Katika mchezo huo uliokuwa mkali na kusisimua uliopigwa kwenye uwanja wa kwa Mbonde mjini hapa, Usalama ilikuwa ya kwanza kujipatia bao kunako dakika ya 60 mfungaji akiwa Mussa Abdallah, huku Pwani wakisawazisha dakika ya 87 likifungaa na Amry Mzava. AHUHUDIA KWA UFUPI MTANANGE HUO..

Published by: BILL MEDIA Published at: 5 years ago Category: مردم و وبلاگ