TFS KIBAHA YASAFISHA MSITU RUVU KUSINI

۱۱۵


۰

TFS KIBAHA YASAFISHA MSITU RUVU KUSINI Na Omary Mngindo, Soga, Kibaha Pwani- Agosti 12 WAKALA wa Misitu Kanda ya Mashariki (TFS) Kibaha Mkoa wa Pwani imekamata ng'ombe 1,070, Mbuzi, Kondoo na Punda waliokuwa ndani ya Hifadhi ya Msitu wa Ruvu Kusini wilayani hapa. Meneja wa Wakala hao wilayani hapa Mkama Kusaga, akisoma taarifa yake mbele ya Mkuu wa Wilaya Assumpter Mshama imeeleza kuwa ukamataji wa mifugo hiyo imefuatia msako mkali uliodumu kwa siku 6. MSIKILIZE KUSAGA ANAVYOSOMA TAARIFA YAKE... MWISHO.

Published by: Siajabu Omary
Published at: ۱ year ago
Category: مردم و وبلاگ