Mwanamke Mwenye Virusi Ajifungua

۲۶.۶ K


۷

Kwa kina mama wengi waliothirika na virusi vya ukimwi kupata watoto huwa ni ndoto ambayo hawana uhakika nayo kutokana na hofu inayowakumba . Hata ni furaha iliyoje kwa Asumpta Wagura aliyebahatika kupata watoto pacha baada ya kuishi na virusi vya ukimwi kwa muda wa miaka 26 sasa. Asumpta ni mmoja wa wanawake wachache ambao wamejitokeza hadharani kukiri kuwa na virusi vya ugonjwa wa ukimwi.

منتشر شده توسط: Kenya CitizenTV
تاریخ انتشار: ۶ سال پیش
دسته بندی: اخبار و سیاست