BNBM BUILDING YAMFURAHISHA DC MSHAMA



0
195

BNBM BUILDING YAMFURAHISHA DC MSHAMA Na Omary Mngindo Kibaha Pwani- Agosti 17 KMPUNI ya BNBM BUILDING MATERIALS INDUSTRY (TANZANIA) LIMITED inayojihusisha na utengenezaji wa GYPAUM, imemfurahisha Mkuu wa Wilaya ya Kibaha Assumpter Mshama, kwa kutekeleza maagizo waliyopewa mapema. Kampuni hiyo ilitembelewa na Mkuu huyo Agosti 11 ambapo alibaini mapungufu kadhaa, huku aitoa agizo la kusitishwa uzalishaji mpaka wakamilishe mapungufu hayo ndipo waruhusiwe kuendelea na kazi. Baada ya agizo hilo, Mkuu huyo akiambatana na viongozi mbalimbali wa sekta tofauti ikiwemo Kamati ya Ulinzi na Usalama Aagosti 15 akajionea maboresho makubwa yaliyofanywa na Kampuni hiyo, huku akielezea kufurahishwa kwake kutokana na kazi nzuri. SHUHUDIA KAZI HIYO...

Published by: BILL MEDIA Published at: 5 years ago Category: مردم و وبلاگ