Lishe Mitaani : Chakula makhsusi cha Ramadhan aina ya Matobosha



0
3409

Ni msimu mwingine wa Ramadhan kwa wenzetu Waislamu Katika wiki kadhaa zijazo tutakuwa tunazingatia vyakula na haswa mapocho pocho ya Ramadhan tukijifunza maandalizi mbali mbali ya vyakula hivi. Tunaanza na matayarisho ya chakula cha matobosha .... kinachopikwa makhsusi wakati wa mfungo wa Ramadhan. Hebu tupate kuelewa vyema kuhusiana na haya kisha tupate kuandaa. Lishe la Matobosha hubugiwa likiambatanishwa kwa chai, kahawa au uji wa dawa ambao pia ni maarufu wakati huu wa Ramadhan.

Published by: K24 TV Published at: 5 years ago Category: اخبار و سیاست