Bahasha (The Envelope)



17
66099

Bahasha ni filamu inayoelezea madhara ya rushwa katika jamii. Katika filamu hii mwenyekiti wa serikali ya mtaa anaonekana kuisaliti familia yake, marafiki zake na jamii kwa jumla anapokula mlungula. Anajipata katika wakati mgumu na inamlazimu kupambana ili kulikomboa jina lake na kurudisha heshima yake katika jamii. #Bahasha #MlungulaNoma Subscribe: http://goo.gl/cR0mA Facebook: http://www.facebook.com/swahiliwood

Published by: Swahiliwood Published at: 2 years ago Category: سرگرمی