Semina Ya Afya Moshi



0
515

SEMINA KUBWA YA AFYA 🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹 Jumapili trh 1.3.2020 kutakuwa na semina kubwa ya afya Moshi itakayofanywa na Hesperence Kilonzo, mtaalamu wa chakula na lishe wa kimataifa mwenye uzoefu wa miaka zaidi ya 10 pamoja na Dr Necha (Yusufu Mohamed) mwelimishaji wa afya kwa miaka 4. Wataalamu wengine wa afya wanazidi kuthibitisha uwepo wao😋 Mada zitakazofundishwa 1. Jinsi ya kujikinga magonjwa ya tezi dume, kisukari, presha na moyo kwa chakula. 2. Jinsi ya kuondoa sumu na kemikali kwenye mbogamboga na matunda kwa 100% 3. Jinsi ya kuondoa sumu mwilini na kupunguza uzito kwa chakula Ushauri wa kiafya bure kwa watu 20 wa kwanza kununua tiketi. Tiketi ni Tshs. 5,000/- kabla ya siku hiyo. Mlangoni ni Tshs. 10,000/- Mahali: Moshi Community Hall - Kristo mfalme Moshi. Ukifika stend kuu ya moshi uliza Kristo Mfalme na utaoneshwa ukumbi ulipo✌🏻 Muda: Saa 9-12 jioni. Wahi leo jipatie ticket mapema💪🏻 Kwa mawasiliano zaidi: 0767759137 Unaweza pia ukajiunga na group letu pia https://chat.whatsapp.com/HyKKKgK5LveAWjj97LAVPL Usikose, mwambie na rafiki yako🌹 ************** SOCIAL MEDIA YOUTUBE: https://youtube.com/DrNatureclinic FACEBOOK: https://web.facebook.com/yusufumf/ INSTAGRAM: https://instagram.com/nechacare ILANI/ DISCLAIMER: Mafundisho na maelekezo katika chanel hii ni kwa ajili ya taarifa tu na hivyo yasitumike kama mbadala wa ushauri au tiba za kitaalam. **** The content on this channel is provided for general information only and should not be relied upon as a substitute for any professional medical advice or treatment.

Published by: Dr Nature Published at: 4 years ago Category: آموزشی